TANZANIA yatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa G23 ambao unaelekea kufanyika 21-22 februari mwaka huu.
Mkutano huo unalenga kuongeza uzalishaji na uongezaji thamani wa kahawa nchini.
Hayo yamesemwa na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa jijini Dar es Salaam.
“Lengo la mkutano huu ni kuongeza thamani ya uzalishaji wa kahawa nchini pamoja na kuhamasisha pamoja viwanda vinavyozalisha kahawa,”amesema

0 Comments