Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa, leo ameufungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) ulioandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, utakaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam, Katika Mkumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere.
Mkutano huo wa Kimataifa wa Elimu Bora hutatoa fursa kwa wadau wa elimu ikiwemo serikali katika watunga sera za elimu nchini
Mkutano huo pia umewasishikisha wadau wengine ambao ni, vyuo vikuu, wanafunzi, watafiti, taasisi za elimu, mashirika ya umma na binafsi, Washirika wa Maendeleo (Development Partners) pamoja na wadau mbalimbali wa elimu nchini kujadili hali ya ubora wa elimu kwa nia ya kuboresha utoaji wake.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Francis Michael akizungumza kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Ms. Faraja Nyalandu ambaye akizungumza kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.
0 Comments