RAIS WA MSUMBIJI ANATARAJIA KUFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA SABASABA JIJINI DARE. ES ALAAM

 

Na Sheila  Ahmad

Rais wa. Msumbiji. Filipe  Nyusi anatarajia kufungua. Maonyesho ya biashara ya sabasaba tarehe moja jijjini dar esalaam  ikiwa nchi ya Tanzania na Msumbiji ni nchi  zenye  ushirikiano katika. Mambo mbalimbali yakiwemo. Biashara ,  Ulinzi na usalama, utalii  miundombinu na madini pia mwenye ujio huo rais nyusi anakuja kumuaga Dkt samia suluhu  katika kumaliza uongozi wake wa miaka 10 kwenye uongozi.


Akizungumza. Jijini  Dar es salaam  Waziri wa. Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika. Mashariki. Mh . January. Makamba amesema kuwa  waziri nyusi. Atawasili  nchini  Tanzania kwa. Mwaliko wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Dkt  Samia suluhu hassani katika kuja kufungua maonyesho hayo hivyo kwa upande wake itakua ziara ya kitaifa na Historia.


Tanzania. Na Msumbiji  Tulisaini mkutano wa  kuanzisha  Tume. Ya Ushirikiano Mwaka  1977. Kwani nchini. Msumbiji kuna baadhi ya watanzania wanaishi nchini humo. Huku Askari tumepeleka. Kwa ajili ya Ulinzi kwani kuweka askari nchini  humo ni Kielelezo  kwa nchi hizi mbili na kutakuwa na mikakati ya kurasimisha  Mipaka .


Aidha. Waziri. Makamba. Ameongeza kuwa. Ushirikiano huu ni wa muda mrefu tangu  kuundwa kwa chama cha Frelimo kutoka nchini   Msumbiji ambapo chama hicho kiliundwa  jijini. Dar. Es salaam  chini ya uongozi wa Rais wa kwanza wa Tanzania. Hayati. Mwalimu.   Julius. Kambarage  nyerere. Alitoa. Mchango. Mkubwa  wa Frelimo wakati wa kupigania  Uhuru wake " Amesema. Waziri. Makamba.


Katika. Hatua. Nyingine. Waziri. Makamba ameongeza. Kuwa kutokana. Na ushirikiano. Huo. Wa. Nchi. Mbili. Ni jambo  Zuri  katika kushirikiana kwenye  nyanja  za kimaendeleo. Hususani  kwenye ulinzi. Na usalama  huku nchini Tanzania watu kutoka. Msumbiji  wanaishi  Tanzania kutokana na ushirikiano ambao. Tumeweka kipindi cha Muda. Mrefu.


"Nchi. Hizi. Mbili zinashirikiana. Katika. Umoja wa Afrika  na umoja wa maendeleo 

Ya  Afrika. (SADEC). Kwenye. Umoja. Wa kimataifa. Hivyo nchi hizi mbili zina mihimili. Ambayo. Inafanana. Kutoka. Msumbiji. Na Tanzania na katika. Maeneo. Mbalimbali  kwani. Nchi hiyo   Miaka. Kadhaa  imekuwa  ikikabiliwa  na changamoto. Ya usalama  katika. Jimbo Lao  la Kaskazini. Mwa. Nchi. Yao. Ambao ni Mpakani Mwa    nchi yetu

Post a Comment

0 Comments