Katibu Mkuu wa UVCCM, Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) ameongoza kikao cha Sektretarieti ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo tarehe 12 Agosti 2026 katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo cha UVCCM - Ihemi, Iringa.
#kazinaututunasongambele
#fyuchabilastresi















0 Comments