CHAMA cha wananchi (CUF)kimewaidhinisha wanachama 12 wachama hicho kuwania nafasi ya ubunge wa afrika Mashariki mara baada ya kikao cha baraza kuu agosti 20 mwaka huu.
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Katibu Mkuuhicho Hamad Masoud Hamadananchi amesema kuwa kuwakwamujibu wakatiba wachama hicho chama hicho kiliwaigiza kamati ya chama hicho kuwapanga wagombeamakuumanne.
''katika kamati ya halimashauri ya chama kulikuwa na makundi manneyaliyo adhinishwa kwenyekamati yabaraza kuuu latataifa kamailivyo ainishwa na baraza lacham chetu''.alisema Hamad Masoud .
Masoud alisema kuwa CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea taarifa ya kuwepo kwa baadhi ya wagombea wanaojipitisha kwa Wapiga kura kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutumia makundi ya wabunge kujitangaza kwamba wao ni wagombea kupitia kundi moja miongoni mwa makundi hayo manne (4) hali ya kuwa Kamati ya Uongozi ya Baraza Kuu la Uongozi la Taifa haijakaa na kukamilisha kazi kama ilivyoagizwa na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa.
Alisema CUF- Chama Cha Wananchi kinautaarifu Umma kupuuzia taarifa zozote zinazoainisha wagombea kupitia CUF kwenye makundi hayo hadi pale Chama, kupitia Kamati ya Uongozi ya Taifa, kitakapokamilisha kazi yake.
"Aidha ni vema ikafahamika wazi kwamba niudanganyifu na utovu wa nidhamu kwa mgombea kujipangia kundi na ni kupoka mamlaka ya vyombo vya Kikatiba ndani ya Chama." Aliongeza Hamad Masoud.
0 Comments