WAHANDISI WANAWAKE WAPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU NA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO

 

Na. Sheila   Ahmadi


Shirika la umeme  Tanzania  TANESCO  imetoa. Fursa  ya kujiendeleza  kielimu  kwa  wahandisi  wanawake  ikiwa na lengo la.  kuwainua wanawanake kiuchumi na maendeleo katika kuleta  uchumi .nchini  kwani ushiriki wa wahandisi wanawake ni mchache mno  hivyo kama shirika tumeona vyema kutoa fursa ya kuwaendeleza kimasomo zaidi.


Akizungumza  kwenye mkutano Jijini. Dar es  salam Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa shirika la umeme nchini Tanzania TANESCO  Gissima Nyamohanga Amesema kuwa sisi kama Shirika la umeme nchini tunaenda kuhakikisha Tanzania inakuwa na wahandisi wanawake wengi.


Tunaenda kuchukua Wanafunzi wa vyuo. Nchini ambao wanasoma Fani.  ya uhandisi ambao wanafanya jinisia ya kike na kuwajengea uwezo ilk waweze  kuajiriwa na serikali hivyo ndani ya shirika hilo na mashirika mengine mbalimbali yanafanya kazi ya uhandisi.


"Sisi kama TANESCO  tumeweka. Mipango  mikakati maalumu. Katika kuwakwamua  wahandisi wanawake  Katika kuwainua kimataifa huku wakiiwakilisha Shirika hilo Katika utendaji kazi


Kwa kushirikiana na wizara ya Nishati,na wizara ya Jinsia wazee watoto ma makundi maalumu  tunaenda kuhamasisha  waha ndisi kufanya kazi  kwani kupitia mradi wetu serikali kwa kushirikiana na Benki ya dunia tumeweza kuanzisha progaramu ya kuwachukua wanafunzi  kwenda kuongeza uwezo wa kuongeza ujuzi  ikiwemo wanafunzi kutoka chuo cha Taasisi ya Teknolojia Dar essalama. DIT " Amesema mkurugenzi  Nyamohanga.


Naye katibu mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jami  Jinsia   na makundi maalumu   Dkt. Seif Shekalage. Amesema kuwa uzinduzi wa programu hiyo ni kuendeleza Akina Mama huku ikiwa ni utekelezaji wa Mhe Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt samia suluhu hasani ikiwa kwa lengo maalumu ya kuweza kuwawezesha wanawake kiuchumi.


Tunaenda kuhakikisha usawa Katika jamii na kuwapa nafasi mbalimbali. Wanawake  za uongozi  ambao TANESCO wamefanya  utekelezaji kutoka kwa rais ambapo programu hiyo ni yanne ya kuweza kupelekea Taasisi hiyo %20 inafakia Katika kutoa maamuzi  mbadala amesema  Shekalage


Kwa upande wake Mhandisi  Catherine Mwigoha kutoka TANESCO. Amesema kuwa  Mardi huo wa usawa wa kinjisia umelenga kunufaisha wanawake hususani wahandisi  kwani baadhi ya wahandisi wanawake waliopo kwenye shirika hilo wamepata fursa ya kusomeshwa na kuendelezwa kielimu ikiwemo elimu ya Bachelor.


Kwa wale ambao hawana Ajira wataweza kupata fursa ya kusoma miaka miwili huku shirika likilipia mafunzo hayo hivyo faida tunazoenda kupata ni kubwa kwani tunaenda kuongeza ujuzi na kujenga uwezo wa kukaa katika vitengo mbalimbali.








Post a Comment

0 Comments