Na Sheila Ahmadi
Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya NHIF umeanza kutoa maboresho ya kitita kipya cha mafao kwa wanachama. Wake huku mchakato huo kuanza mwezi march 1 mwaka huu.
Akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es salaam Mkurugenzi mtendaji wa NHIF Bw Bernad konga amesema kuwa kitita hicho cha mafao. Ni orodha ya matibabu ambazo zinaenda kutolewa kwa wanachama wa hao huku bei zake zikiwa ni nafuu. Pia Katika maboresho hayo ya mwisho ya kitita. Cha mafao kinaenda kutumika sasa ambapo yaliweza kufanyika mwezi juni. 2016.
Kufikia hadi sasa ni Takribani miaka nane hivyo kuna umuhimu wa kufanya marejeo kutokana na sababu ambazo upatikanaji wa huduma bora kwa wanachama hao na kuongezeka kwa huduma ambazo hazikuwepo kutoka kwenye mfuko huo wa bima ya NHIF.
Aidha mkurugenzi Konga Amesema kuwa miongoni mwa manufaa ya kitita Ni pamoja na wanachama ambao wanatumia huduma za dawa za shinikizo la damu na sukari hivyo. Wanachama hao wanaweza kupata dawa kutoka kwenye ngazi za chini. Huku wanachama ambao wanapata huduma ya uchujaji wa damu gharama zitakua zimepungua kwa kiasi kadhaa." Amesema Mkurugenzi konga"
"Katika hatua nyingine konga ameongeza kwa kusema kuwa huduma za kibingwa na bobezi Yakiwemo magonjwa ya moyo, saratani,figo. Zinapatikana kwenye ngazi za kanda lakini wanachama ni muhimu kwenda Kufika hosptali.za kanda za kitaifa ili kwenda kupata huduma zaidi ya magonjwa hayo ambayo nimeyasema .
kuna baadhi ya maeneo muhimu ambayo yameweza kufanyiwa na maboresho na kuleta unafuu kwenye garama ni Ada ya usajili na ushauri kutoka kwa Daktari. Huku huduma za dawa na Tiba na upasuaji wa vipimo vya magonjwa ambavyo vinatakiwa kutibiwa na kuweza kutoa maoni kutoka kwa wadau kuhusu kitita hicho ambacho kinaenda kutolewa mwaka huu march kwa wanachama wote.

0 Comments