KARIBUNI SAORE COMPANY LIMITED UWEKEZE KWENYE SUNGURA

 




.


Hayo aliyasema leo Mkurugenzi wa Sore Company limited. ndugu  Suleyman Rugarabamu Leo tarehe 03/9/2025 jijijini Dar es salaam ambapo alisema kuwa "Tumeanza mwaka 2018 makao makuu yetu yapo Kilimanjaro.Na tunafanya kazi na watu wa aina tatu,Mtu wa kwanza tunaweza kumpa sungura bure tunamjengea banda anafuga na ankauja kutuuzia,Na yule ambae tunampa sungura afuge bure,yeye anatuuzia"

Vilevile aliongezea kuwa "Ni project ya kuondoa umaskini ,kwa sababu sungura hawa wanazaa kila mwezi na ni chotara na wanazaa watoto 6 mpaka 16"


"Ukiachana na hayo,nyama ya sungura ni nzuri kwa watu wanafanya mazoezi na wanaopigana kama mandonga,Nyama ya sungura inawasidia watoto wadogo kuanzia miaka 0 mpaka miaka 5"


NayeManager Saore Company Limited mkoa wa Dar es salaamndugu  Joseph Mbembe alisema kuwa "Nchi kama China,Japan na North Korea zinaongeza kutumia nyama ya sungura kama watanzania wanatumia nyama ya sungura hii itaongeza  na itatengeneza afya za wa Tanzania kutokana na watumiaji wa nyama ya sungura"

Naye Bondia wa ngumi Karim  Mandonga alisema kwamba"niliweza kuonana na Mkurugenzi wa Saore na alinielekeza chakula gani cha kula ambapo Mkurugenzi alinambia ni Sungura,ambao sungura hawa ni Sungura wa kisasa ambao wamechanganyika wa kisasa na wakienyeji"

"Suluhisho la watanzania na kubadilishana hatima ya watanzania ni Saore company limited"

Na aliwataka wale wenye matatizo ya kiafya kutumia nyama ya sungura "Kweli tunamatatizo ya kiafya kwa iyo tufike Saore tupate sungura safi na Kama unaeneo la kufuga Karibu Saore Company limited"


"Saiz ukinipiga kama nakupiga niweka pembeni,saiz nakupiga tu,kwa sababu natumia nyama ya Sungura"alisema Mandonga.

Post a Comment

0 Comments