Simba yatuwa Sudan kucheza michezo ya kirafiki

Kikosi cha Simba SC, kimetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole nchini Ethiopia, kikiwa safarini kwenda Khartoum, Sudan.
Simba itacheza mechi mbili za kirafiki, dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana na wenyeji wao Al Hilal ya Sudan
Simba ipo kwenye mapumziko ya kupisha michezo ya kufuzu CHAN kwa timu za taifa


Post a Comment

0 Comments