WASANII WA BONGOMOVIE WATAKIWA KUTUMIA FURSA KATIKA KUKUZA TASNIA. YA FILAMU NCHINI

 

Na  Mwandishi. Wetu

Wasanii  wa. Bongomovie  nchini wametakiwa kutumia fursa  katika kukuza. Tasnia ya filamu waliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuambatana naye katika ziara zake za nje ya nchi kwa lengo la kujifunza na kukuza kazi zao za sanaa.


Akizungumza    jijini Dar es Salaam  Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amesema. Kuwa  wasanii wa Bongo Movie  wamenda. Nchini. Korea katika kujifunza. Mambo mbalimbali.  katika kukuza. Na kuendeleza. Tasnia 


Tumeenda  katika kuwakilisha  baadhi ya wasanii na  kukuttana viongozi wengine. wa tasnia hivyo Safari ya Korea tumejifunza mengi ambayo tulikuwa hatuyajui. Mfano ni mtu mmoja kumiliki vitu 14 katika tamthilia, kule wenzetu kila mtu ana jukumu moja, kama ni Camera man anakuwa na jukumu hilo tu," amesema Nyerere na kuongeza,


Aidha  tunatakiwa. Kutumia fursa  vizuri  ambayo  tumepewa na Rais kukuza kazi zetu, kutangaza utalii wa nchi yetu. Dkt. Samia anatupa "connection" ya kuwa wa kimataifa. Na niseme tu tumekwenda Korea kujifunza kwa ajili ya wasanii wenzetu, hivyo haya tuliyojifunza tutawapa na wenzetu,".


Vilevile   Nyerere ametumia nafasi hiyo kumuomba Rais Samia kuwasaidia kutimiza vipaubele vyao ili Sanaa nchini iweze kupiga hatua zaidi kimataifa.



Hata hivyo. Tunaomba.  kuhakikisha  kuwa mji wa kigamboni unajengwa ili kuwatengenezea mazingira rahisi ya kufanyia sanaa zao.


Sanjari. Na hayo  wasanii hao wametumia fursa hiyo kumshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuwajali na kuwashika mkono ili waweze kukuza tasnia ya sanaa nchini kwani wamweza kukutanishwa na wasanii  wazalishaji wakubwa ambao wameahidi kuwa watakuja nchini na watafanya kazi za pamoja.

Post a Comment

0 Comments