Na. Mwandishi wetu
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amezindua mpango wa maendeleo wa. Mifumo ya chakula kutoka kwenye nchi za Afrika katika kuwa na sera nzuri za uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuharakisha maendeleo ya sekta hiyo na kukuza uchumi wa Afrika.
Hayo. Yamesemwa. Jijini. Dar es salaam na Waziri. Wa kilimo. Hussein bashe mara baada kuzindua mpango mkuu wa maendeleo wa mfumo wa chakula kufikia mwaka 2030 ambapo amesema kuwa takribani ya asilimia kubwa ya uzalishaji wa mifumo ya chakula bado hauridhishi kulingana na mahitaji ya chakula katika Bara la Afrika.
Sambamba. Na hayo waziri. Bashe amewataka wadau wa mifumo ya chakula Barani Afrika AGRF kuanza kuandaa maeneo muhimu ya uwekezaji ili kuifanya sekta hiyo kuvutia kwa watu wengi likiwemo kundi la vijana." Amesema waziri bashe"
"Sisi. Kama wizara. Ya kilimo. Tumeona ni vyema kuboresha mifumo hii ya chakula 2050 unapaswa kulingana na maono ya maendeleo ya mwaka na dhamira yake utaonekana Agosti mwaka huu hicho ndicho tunachotaka na kielelezo tosha kwa taifa,” amesema Waziri Bashe.
Katika. Kuboresha kwenye sekta ya kilimo na maendeleo ni. Muhimu kuweka kwenye mifumo ya chakula dhumuni ni kukuza uchumi na kuhamasisha vijana ambao ni nguvu. Ya Taifa katika kuwezesha teknolojia, fedha na uhakika wa masoko huo ndio mwelekeo wa serikali
"Tunatambua kuwa katika sekta ya kilimo kuna baadhi ya changamoto. Ambazo. Wakulima wanakutananazo zikiwemo ukosefu wa mbolea zilizo bora hivyo. Katika kuhakikisha tunafikia malengo ya kukuza uchumi wetu kupitia kilimo tunaenda kutoa baadhi ya mahitaji kwa wakulima hao. Nchini
0 Comments