Home
About
Contact
Home
Home
Teophil Mbunda
August 20, 2024
Post a Comment
0 Comments
Translate BLOG
Social Plugin
Total Pageviews
Popular Posts
CWT MKOA WA PWANI YASHUSHA NEEMA YA MATOFALI ELFU MOJA SHULE YA MSINGI MKOANI
October 08, 2026
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AKOSHWA NA MRADI WA UZALISHAJI WA MICHE IHOMBE
October 07, 2026
UWT MKOA WA PWANI YATUA KITUO CHA AFYA MKOANI KUTOA MSAADA WODI YA WAZAZI
October 03, 2026
MWENGE WA UHURU 2026 UMEZINDUA MRADI WA NISHATI SAFI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA GALIJEMBE
October 07, 2026
MBUNGE MARIAM IBRAHIM ASHUSHA NEEMA YA MRADI WA PIKIPIKI KWA UWT MKOA WA PWANI
October 05, 2026
MWENYEKITI KAZEMBE ASISITIZA UMUHIMU WA VIJANA KUTAMBUA UMUHIMU WA KUFANYA MAZOEZI KWA AFYA
September 26, 2026
TANZANIA YAPATA HESHIMA KUBWA YAKUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA PILI WA DOHA* *DAR ES SALAAM Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Pili wa Doha (Doha Dialogue) kuhusu uhamaji wa nguvu kazi na ajira, utakaofanyika Oktoba 5 na 6, 2026 jijini Dar es Salaam, ukiwa na lengo la kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika sekta ya ajira na kufungua fursa zaidi za ajira kwa Watanzania nje ya nchi. Mkutano huo utafanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency na unatarajiwa kuwakutanisha washiriki kutoka zaidi ya nchi 33 za Afrika, nchi za Ghuba, Jordan na Lebanon kwa ajili ya kujadili mikakati ya kuendeleza uhamaji salama wa nguvu kazi pamoja na ajira zenye staha. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mhe. Deus Sangu, amesema Tanzania ni nchi ya pili duniani kuwa mwenyeji wa Doha Dialogue na ya kwanza barani Afrika kuandaa mkutano huo muhimu. Amesema ajenda kuu za mkutano huo zitajumuisha kujadili mikataba ya ajira baina ya nchi, ulinganifu wa ujuzi wa wafanyakazi na mahitaji ya soko la ajira, pamoja na maandalizi ya nguvu kazi kukabiliana na mabadiliko yanayoletwa na maendeleo ya teknolojia. Kwa mujibu wa Waziri Sangu, Tanzania itatumia jukwaa hilo kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali katika kuwaandaa vijana kushiriki kikamilifu katika soko la ajira la kimataifa, huku ikiendelea kusisitiza umuhimu wa kulinda haki za wafanyakazi na kuhakikisha upatikanaji wa ajira zenye staha. Mkutano huo umebeba kaulimbiu isemayo, “Kutoka Ahadi hadi Vitendo: Kuendeleza Uhamaji wa Nguvu Kazi wenye Haki na Endelevu wa Nchi za Afrika na Ghuba (GCC+).”
September 28, 2026
UWT KIBAHA MJI MOTO MOTO YATIMBA MKUZA KUSAMBARATISHA RASMI MAKUNDI
November 13, 2024
0 Comments