Home
About
Contact
Home
Home
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo August 5/2024/
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo August 5/2024/
Teophil Mbunda
August 05, 2024
Post a Comment
0 Comments
Translate BLOG
Social Plugin
Total Pageviews
Popular Posts
WADAU WA FORODHA MKOA KIGOMA WAPATIWA ELIMU JUU YA SHERIA YA FEDHA 2026 PAMOJA NA TARATIBU ZA FORODHA
August 18, 2026
JNHPP KUZINDULIWA RASMI AGOSTI 22
August 17, 2026
WASHAURI WA KODI NA TRA KUELIMISHA HAKI NA WAJIBU KWA WALIPAKODI
August 18, 2026
DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MZEE MGANGA NGELEJA
July 24, 2025
Mama koka awafunda wanawake wa UWT kibaha mji
September 06, 2022
SERIKALI YAENDELEA KUJENGA SHULE 100 ZA AMALI NCHINI
November 10, 2024
HUSTLESASA, kongamano linalolenga kuwaunganisha vijana kupitia muziki, burudani, biashara na imani, maandalizi yanaendelea kwa kasi kuelekea tukio hilo litakalofanyika Agosti 15 katika Lugalo Golf Club. Kongamano hilo litakuwa na shughuli mbalimbali pamoja na fursa za biashara, huku likilenga pia kuibua jambo jipya na kuwapa vijana nafasi ya kukutana, kushirikiana na kujenga jamii yenye maono mapya. Miongoni mwa wageni muhimu atakayeshiriki ni Moses Bliss, muimbaji maarufu kutoka Nigeria, ambaye atashiriki katika muda maalum wa ibada, maombi na ushuhuda. Waandaaji wamesema tukio hilo halilengi burudani pekee, bali pia kuwawezesha vijana kuelewa umuhimu wa kuishi katika Kristo, kujenga imani na kushirikiana katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Aidha, NEEMA Gospel Choir pamoja na baadhi ya wacheza dansi watashiriki katika kongamano hilo, huku kukiwa na vipengele mbalimbali vya muziki na burudani. Waandaaji pia wametaja Seed Communion kama sehemu ya programu ya siku hiyo, wakisisitiza kuwa washiriki hawatarajiwi kuja kujiburudisha pekee, bali pia kushiriki katika kujenga jamii yao. “Sio kwamba mnakuja kuinjoy tu, ila mnatakiwa kuijenga jamii yenu.” HUSTLESASA inatarajiwa kuwa wakati wa kuadhimisha mwanzo mpya, kuunganisha vijana na kuwapa nafasi ya kushirikiana kupitia muziki, imani, biashara na vipaji.
August 18, 2026
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku juni 16/2024/
June 16, 2024
0 Comments