RC CHALAMILA AZINDUA KLINIKI YA UTOAJI HUDUMA YA KISHERIA BURE

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imezindua Kamati ya Ushauri wa Kisheria ngazi ya Mkoa na Wilaya katika Mkoa wa Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 16 Februari, 2026 na kufuatiwa na Kliniki ya Sheria inayoanza tarehe 16 hadi 22 Februari, 2026 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments