♦️Mwanasiasa, Mwanasheria, Mtaalam na Mbobezi wa masuala ya kijamii, Ndg Lilian Wasira (Simba) ametajwa kuwa mmoja kati ya Wanawake mahiri wenye nguvu hapa nchini ambao watashiriki kwenye mdahalo maalum 'round table' Chuo kikuu cha DSM kujadili maono ya kifedha na uchumi ktk DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050.
♦️Mkutano huo mkubwa unaotarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wengi wakubwa hapa nchini itafanyika kwa siku mbili mfululizo kuanzia tar 14th mpaka 15th November 2026 kwenye ukumbi wa New library Conference Centre Chuo kikuu cha Dsm.

0 Comments