KARIBU DC, TUTASHIRIKIANA KATIKA KUWAPATIA WANANCHI HUDUMA ZA KIJAMII.

Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo, Jaffary Nyaigesha amkaribisha DC Lazaro katika Manispaa ya Ubungo kwa kumwaidi kuendeleza ushirikano katika miradi ya kimaendeleo.


Post a Comment

0 Comments