Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha Leo Tarehe 2 Mei ,2025 Amezindua Bodi ya Afya ya Wilaya Bodi Hiyo Itadumu kwa Muda Wa Miaka 3 ,kwanzia 2025 mpaka 2028 ,
Bodi ya Afya ya Wilaya Imeshirikisha Makundi Mbalimbali Kwenye Halmashauri ya Jiji la Tanga , Uzinduzi wa Bodi Hiyo Umefanyika na Kushuhudiwa na Mstahiki Meya wa Jiji La Tanga Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Tanga.
0 Comments