Milioni 500 kushindaniwa King Bet

 


Jumla ya Sh milioni 500 zitashindaniwa na wadau wa michezo ya kubahatisha kupitia promosheni mpya ya Kampuni ya King Bet.


Kampeni hiyo ijulikanayo kama "Cha Kulalia" Itadumu kwa miezi 6 ambapo mshiriki atatakiwa kucheza mchezo wa kurusha kindege maarufu kama Aviator✈ kwa dau la Sh 10,000

---

Afisa Habari na Mawasiliano kutoka kampuni ya King bet, Charles William, amesema kampeni hiyo itagawa mgao huo kwa washindi 3,000 watakaokidhi vigezo na masharti na washindi watapokea fedha zao moja kwa moja kupitia akaunti zao.

---

"Kushinda michezo yetu ni rahisi sana, huu ni mwaka wa neema kwa wadau wa Kingbet, kampeni yetu ya Cha Kulalia inalenga kuwawezesha wateja wetu kushinda mkwanja maradufu," Amesema William. 


Post a Comment

0 Comments