RAIS SAMIA KUZINDUA BANDARI YA KWALA JULY31.2025

 







Waziri wa uchukuzi Prof Makame Mbarawa hapo jana jijini Dar es alsalaam tarehe 25 July 2025, alizungumza na vyombo vya habari na kusema  "kuwa hafla ya Uzinduzi wa bandari kavu ya kwala na kuanzia Rasmi kwa treni ya mizigo ya reli ya kisasa(SGR) kati ya Dar es salaam na Dodoma itafanyika tarehe 31july 2025,katika eneo la kwala mkoani Pwani ambapo mgeni Rasmi atakuwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan"


Pia alisema kuwa "bandari kavu ya kwala iliyojengwa vigwaza ni kilomita(Km90)kutoka Dar es salam" alisema Makame Mbarawa.


Pia alisema kuwa " faida zitokanazo ni pamoja na Kupunguza msongamano Bandarini na barabarani,na 

Pamoja na hayo tunategemea ongezeko la viwanda na ajira katika bandari ya kwala"

Post a Comment

0 Comments