CHATANDA ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE NASSORO HAMDAN- TABORA

 




Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Mary Pius Chatanda (MCC) amefika Nyumbani kwa Familia ya Marehemu Nassor Hamdan aliyekuwa Mjumbe mstaafu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambaye mazishi yake yalifanyika jana tarehe 03 Februari, 2026, katika makaburi ya Mihogoni, Kata ya Mbugani, Manispaa ya Tabora.

Post a Comment

0 Comments