Waziri wa maliasili na utalii ashiriki mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi Dar es saaam

 


Sheila  Ahamad, Dar es Salaam.


Kupitia  wizara ya maliasili na utalii Waziri Mwenye dhamana  Angela kairuki amesema wizara ya utalii   imechukua hatua katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi kupitia   kwenye wizara hiyo imeingia katika misitu ili kuitunza na kuhifadhi mazingira na kwasasa wanashirikina katika kukuza  utalii nchini na kuongeza ubunifu katika utunzaji wa misitu na mazingira.






Akizungumza katika mkutano wa mabadilko ya nchi  Jijini  dar es salaaa. waziri  kairuki amesema sekta ya utalii na maliasili  wanakabiliana katika  mabadiliko hayo duniani huku wakichukua hatua za kiserikali na katika nchi yetu kuna biashara ya misitu katika kuendeleza misitu nchini hivyo kupitia utaliii na maliasili wamejipanaga vyema ili kudhibiti madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo  inatokana na hewa chafu.


Kimsingi ukiangalia hali ya kimataifa kwa sasa imejikita zaidi katika maeneno ya viwanda hususani viwanda vikubwa ambavyo vinatumia makaa ya mawe kwa kiasi kikubwa hivyo inakubalika duniani kupitia mikataba ya paris kupitia ibara ya sita nukta 4 kuona namna gani nchi inaweza kukabiliana na suala hilo na changamoto ya hewa hiyo.


Kutokana na biashara hiyo kuanza  serikali imetoa pongezi kwa wananchi kwa upandaji wa miti mingi  zaidi itaweza kupunguza hewa chafu hivyo sekta hiyo imetoa rai  kwa kushirikiana na makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt  philip Mpango kwa kuleta maendeleo na uelewa kwa wantazania na wengine wote  katika kukabiliana na changamoto ambazo  zimejitokeza katika mabadiliko hayo ikiwemo upandaji wa miti."amesema  waziri  kairuki"


Kwa upande wake  Mdau wa mazingira Cosmas Tungalaza amesema dhamira ya mkuttano huo ni kuweza  kuonesha athari za madaliko ya Tabia ya nchi pamoja na fursa ambazo zinatokana na  madaliliko hayo kama asubuhi kulikuwa na mafuriko

Na ukame kutokana na majira tofauti toufauti ikiwemo nyakati za kilimo huku mkulima akiwa hafahamu wakati muafaka wa kulima mazao.


Huku zaidi wamejkita  katika mabaliko hayo kama unavofahamu kwa ujumla inahusisha mabadiliko hayo chini ya asilimia tatu lakini pia kuna miradi kama hii inatoa fursa  katika kuazisha miradi mbalimbali itokanayo na sekta ya misitu.ambayo inatoa mwanga wa jua katika kuongeza hali ya hewa na kuleta mabadiliko katika kuchakata bidhaa zitokanazo na misitu asilia.


Hata hivyo  mkurugenzi  kutoka  kampuni ya Seltech Tanzania company  Haesung lee amesema kuwa sekta ya nishati kwa kutumia sola inakabiliwa na hali ya hewa hivyo kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa nishati ya sola imekua ikitumika.kwa wingi zaidi ya watu 2000 nchini korea  hutumia zaidi nishati ya sola itokanayo na jua ambayo wengi zaidi hutumia kwa matumizi mbalimbali kwa mahitaji yao muhimu.

Post a Comment

0 Comments