SAFARI ZA DAR _DODOMA KUPITIA TRENI YA SGR YAANZA RASMI


Na  Sheila. Ahmadi

Shirika  la reli nchini. Tanzania (TRC) limeanza. Kutoa huduma za safari kutoka dar es salaam  kuelekea  dodoma ambapo shirika hilo limesema  kuwa leo ni siku kubwa ya furaha kwetu kutokana kwa utekelezaji wa maagizo  ya Mh. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt samia suluhu hasani. alitoa  wito kwa trc kuwa   ifikapo. Julay  mwaka 2024 tunatakiwa kukamilisha mradi huo wa trc kwa utoaji wa huduma  kwa wananchi.


Akizungumza.  jijini. Dar e salaam Mkurugenzi. Wa shirika la. Reli nchini Tanzania Masanja. Kadogosa  amesema kuwa  kutoka Dar esalaam kuelekea mkoani Dodoma inaenda kurahisisha  baadhi ya wasafiri  ambao wanatoka sehemu mbalimbali  kupitia maeneo. Ya dar esalaam kuelekea mkoani humo .hivyo sisi kama shirika tunamshukuru mungu kwa kuweza  kukamilisha jambo hili ambalo wananchi. Walikuwa wanalisubiri kwa shauku kubwa.


"Tuna  viongozi. Mbalimbali   kwenye treni hii ya leo ambayo inaanza rasmi safari za Dar es salaam kuelekea dodoma pia siku za hivi karibuni tutatoa taarifa rasmi ya uzinduzi wa treni hiyo  huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Dkt samia suluhu hassani.


Aidha  Mkurugenzi. Kadogosa. Aliongeza  kuwa treni hii tumeweza. Kubeba mabehewa zaidi ya 14 hadi 20 huku mabehewa hayo yakiwa yamebeba abiria Takribani ya 900. Vilevile baadhi ya Abiria wamekosa tiketi za kuondoka Dodoma hivyo tumeona  muamko Mkubwa wa wananchi na kuweza kufurahia usafiri huo wa haraka ambao unatumia muda mchache wa kutoka. " Amesema  mkurugenzi  kadogosa".


Treni. Zetu  zipo aina mbili tofauti. Ambazo ni daraja la juu na kawaida kupitia bei elekezi. Ya Mamlaka ya usafiri wa Ardhini ( Latra). Kiwango cha fedha cha kawaida ni elfu thelathini na moja kutoka dar esalaam kuelekea dodoma huku nauli za Kutoka mkoani dar es salaam mpaka Morogoro ni 13000.


Kwa. Upande. Wake  Abiria kutoka. Dar es salaam kuelekea mkoani dodoma. Rose mchau. Amesema kuwa  leo nina furaha kubwa  ya kupanda. Treni.hii ya mwendokasi  kwani wameturahishia katika  kutumia muda mchache wa safari ikiwa na tofauti  na Magari ya kawaida.


Vilevile  Rose ameongeza. Kuwa. Mimi ni mkazi wa dodoma hivyo nilivoona treni hii imekamilika. Pia nawashauri  wananchi wote wafike kupanda treni hii kwani ni nzuri. Pia Ina mazingira. Wezeshi kwa watu wa rika zote na mahitaji maalumu pia ni matumaini yangu kuwa  katika safari yetu hii tutafika salama

Post a Comment

0 Comments