Na Mwandishi wetu
Waziri wa utamaduni sanaa na michezo Dkt damasi ndumbaro anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la grand gala. Dance litakalofanyika ukumbi wa supa Dom masaki jijini dar es salaam ambapo litahusisha muziki wa. dance. ukiwemo Fm academia.
Mkurugenzi. Wa chocolate Princess Mboni masimba anawakaribisha kwenye tamasha la Grand gala Dance litakalofanyika jijini Dar es salaam The supa Dom masaki ambapo kutakuwa na tukuyu band, Malaika band.
Akizungumza jiini dar e s salaam mkurugenzi huyo mboni masimba amesema kuwa kuelekea. Kwenye tamasha hilo La muziki wa bendi litahusisha bendi mbalimbali zikiwemo tukuyu bendi, Fm academia. Na twanga pepeta .
Tutakuwa na vingilio tofauti kwenye tamasha hilo kuanzia Miioni mbili ,moja na elfu hamsini kwa kila mmoja hivyo kwa watu wote tunawakaribisha katika muziki wetu wa Dance.
Aidha Mkurugenzi. masimba aliongeza kuwa kupitia chini ya udhamini wa CRDB leo wamezindua rasmi ambapo wapenzi wa grand gala Dance tunawakaribisha tarehe 30 August mwezi huu.
Naye mkurugenzi. Wa Fm Academia amesema kuwa tutatumbuiza kwa pamoja kupitia kwenye huo wa dance hivyo njooni katika kushiriki kwenye tamasha hilo ya muziki wa dance kupitia kwenye muziki
Kwa upande wake msimamizi wa huduma kutoka CRDB amesema kuwa tutakua na huduma ya lipa namba mpya kutoka CRDB hivyo tutatoa huduma hiyo kwa kutumia huduma ya lipa namba.

0 Comments