BANK of Africa Tanzania imeahidi kuendelea kufadhili miradi mbalimbali ya nishati safi nchini.
Hayo yamesemwa na Meneja Mahusiano Anjelile Mtetemela katika Mkutano wa Mission 300 uliyofanyika jijini Dar es Salaam.
“Sisi kama bank tutaziendeleza juhudi za Serikali katika kuwawezesha watanzania kupata nishati safi,”alisema
Aliongeza mkutano huo ni kushirikishana uzoefu; kupata ahadi muhimu za kisiasa; kutumia ushirikiano na serikali pamoja na sekta binafsi.

0 Comments