TIBA YA UTALII YATANGAZWA KUPITIA MKUTANO WA M300

 


MKURUGENZI Mtendaji Medicare Abdulmalik Mollel ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuandaa mkutano wa nishati wa viongozi Africa Mission 300 ambayo umelenga kutangaza tiba utalii nchini.


Ameyasema hayo leo katika ukumbi wa Mkutano wa Julius Nyerere.


“Mkutano huu unatija kubwa hususani kwa upande wa Afya; kwasababu huduma nyingi hupatikana kutokana uwepo na nishati,”alisema 

Wataalamu  wa Tiba kutoka hospitali Kuu ya Muhimbili Nchini Tanzania  wameweza kujitokeza na Vifaa tiba ,pia vinahitajikaa sana ,Huduma ya Taasis yetu hii ipo Nchini kote Dar es salaam hadi vijijni.


Naye Alex Joseph ambaye ni Daktari Bingwa wa Moyo kutoka Taasis ya kikwete anasema ushiriki wao upo asilimia 3 katika mkutano huo. 


Naye Daktari wa huduma wa dharura kutoka JKIC Dkt Nicole Kinyawa amesema kuwa kupitia mkutano huo wameweza kukutana na wadau mbalimbali wa nchi za jirani na Afrika kwa ujumla.


" Ulinzi wa afya na kutangaza Tiba utarii moja bila Nguvu hakuna Afya kwa Utumia wa vifaa tiba ( MRA) hatuwezi kuwa na vifaa kama( MRA) hakuna Nisharti basi kazi haitofanyika na vifaa vingine kama Nishart ,kama chumba cha upasuaji na Umuhimu wa secta ya Afya 

Kupata Nishati kunaleta ubobezi katika utoaji moyo  ,katika kufungua Moyo na kureta mvuto Huduma hii ipo Nchini na  kureta uchumi ,”alisema 


Amesema kuwa tumepata nafasi ya kwenda kuwekeza Billion 5 na Billion 4 katika Uwekezaji wa Moyo.


Pia mtaalamu wa Tiba Mionzi Agnes Blasi Ngowi katika Taasis ya saratani Ocean Road amesema  Taasis hii ina mashine za kisasa katika uchunguzi wa Awali wa salatani kulinganisha na nchi kuwa na Mashine .



“Taasisi yetu ipo  maalumu kwa kushirikiana na wenzetu kama Comolo ,kongo, DRC, Rwanda Burundi,Zambia, Malawi.

Post a Comment

0 Comments