M
namo tarehe 29 January 2025,Mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule,alizindua Bodi ya ushauri ya hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma,na kuwapongeza Wajumbe kuteuliwa
Ambapo alisema kuwa"Niwapongeze sana wajumbe kwa kuteuliwa na kwa kuanza tunayokazi za kutatua Changamoto zilizopo"
Naye Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt Ezekiel Mpuya alishukuru kwa uteuzi wa Bodi hiyo na alisema kuwa yupo tayari kufanya kazi





0 Comments