KATIBU wanawake Machinga Complex Gloria Mleli amefurahishwa na juhudi wanazozifanya wanawake katika kuleta maendeleo.
“Asilimia kubwa ya wafanyabiashara wa eneo hili ni wanawake hii ishara kubwa kwamba wanawake wapo vizuri kwenye kuleta maendeleo,”amesema
Aliongezea na kusema kuwa wafanyabiashara zaidi ya 1000 wameweza kupata eneo, hii ni hatua nzuri kuona wanawake wakipambana na kuachana na kubweteka kama ambayo ilivyokuwa miaka ya zamani.

0 Comments