KATIKA juhudi za kuwainua wanawake Mwanaidi Mshungeni amewaomba wageni kutoka ndani na nje ya nchi ambao wamejumuika kwenye mkutano huo wa siku mbili kuunga wafanyabiashara hao ili kujipatia kipato.
“Mimi nauza mabitiki ambayo hayachuji, hivyo nawakaribisha wateja kuja kuniunga mkono ili niweze kupata chochote kitu,”amesema
Vile vile ametoa wito kwa wanawake waliopo majumbani kuchangamkia fursa hizi na kupata eneo kwa ajili ya kutangaza utalii wa nchi yao kupitia mavazi ya kiutamaduni.

0 Comments