Kikao Maalum cha Kamati ya Utekelezaji, kitakachofanyika kwa lengo la kujadili masuala muhimu ya ujenzi wa jumuiya, utekelezaji wa maamuzi ya vikao, pamoja na kuweka mikakati ya kuimarisha utendaji na ushiriki wa vijana katika shughuli za maendeleo.
📅 Tarehe: 02 Agosti 2026
🕗 Muda: Saa 08:00 Mchana
📍 Mahali: Ukumbi wa CCM Mkoa wa Iringa (Nyerere)
Ushiriki wa kila mjumbe ni muhimu ili kuhakikisha UVCCM Mkoa wa Iringa inaendelea kuwa imara, yenye mshikamano na inayotekeleza majukumu yake kwa ufanisi.
Karibuni wajumbe wote kwa wakati. Pamoja, tutaendelea kulinda na kujenga Ujamaa huku tukisonga mbele kwa kazi na utu.
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziNaUtuTunasongaMbele

0 Comments